UBALOZI WA SWITZERLAND, FINLAND
& SWEDEN
MNADA WA HADHARA:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Switzerland, Finland & Sweden watauza kwa mnada wa hadhara Magari, Generators & Fanicha za Ofisi na nyumbani tarehe 26 July, 2014 Jumamosi saa 4.00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza, Lion Street.
MALI ZITAKAZOUZWA:
Sofa sets, Dining Table & chairs, Coffee table, Book Shelves, Meza za ofisi/viti, File
cabinets, Fridges, Cookers, TV set, Washer, Dryer, Camping Tents, Computer set, Photocopy m/c, A/c split units Etc.
MAGARI YATAKAYOUZWA:
Idadi | Aina | Model | Mwaka | Ushuru |
1
| Nissan Patrol | Diesel Engine 4x4 S/ Wagon | 2008 | Bado |
1
| Nissan Hard Body | Diesel Engine 4x4 P/ UP D/ Cabin | 2008 | Bado |
1
| Nissan Ex Trail | Diesel Engine 4x4 S/ Wagon | 2011 | Bado |
5
| Isuzu P/Up Double cabin | 4BJ1, Diesel engine, 4x4 P/ Up D/ Cabin | 2006 | Bado |
1
| Generator 17 KVA | Lister Diesel Engine 4 cylinder | 2005 | Bado |
Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza,Lion Street tarehe 24 na 25 July, 2014 kuanzia saa 4.00. asubuhi mpaka saa 10.00 jioni.
MASHARTI YA MNADA:
Mnunuzi wa fanicha atatakiwa kulipa malipo yote pale pale. Na mnunuzi wa Generator/gari atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 7 ukishindwa kulipa kwa muda huu gari litauzwa tena na dhamana haitarudishwa.
Mali zote zitauzwa kama zilivyo.
Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru.
Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa siku hiyo hiyo baada ya kulipia malipo yote pamoja na ushuru
Kwa maelezo zaidi waone:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE
NKRUMAH STREET MKABALA NA CO-CABS
DAR ES SALAAM.