Pamoja na taabu ya usafiri, wazazi wa watoto hawa wana moyo! Published on Tuesday, July 22, 2014 Mwendesha 'bodaboda' akiwa amewapakia watoto wanne katika pikipiki yake kama alivyokutwa na kamera ya Frank Kimaro huko barabarani Jet Rumo jijini Dar es Salaam. (picha via DailyNews)