Rais Kikwete, Waziri Mkuu Pinda, Jaji Mkuu Othman wafuturu kwa Makamu wa Rais, Dk Bilal

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sawa kanzu ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda kabla ya kushiriki katika futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa jioni Julai 25, 2014

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman wakiwasili kushiriki katika
futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa jioni Julai 25, 2014