Katika siku mbili hizo, wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA watajadili pamoja na masuala mengine;
- Mchakato wa Katiba Mpya.
- Taarifa ya hali ya siasa nchini.
- Uchaguzi wa ndani ya chama. Taarifa ya fedha, Mpango Kazi na Bajeti.
- Mapendekezo ya marekebisho ya Katiba, Kanuni na Miongozo ya Mabaraza ya Chama.
- Maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
- Taarifa ya Katibu wa Wabunge.
- Rufaa mbalimbali.
- Nembo na Kadi za Mabaraza ya Chama.
Imetolewa leo Alhamis, tarehe 17 Julai, 2014 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari- CHADEMA