Watoto wanaoishi katika mazingira magumu, walemavu wa ngozi na yatima wafuturu Ikulu na Rais Kikwete


Rais Kikwete akipakua futari Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni


Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakiswali swala ya Magharibi wakati wa futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni.Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni


Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniRais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa meza kuu na viongozi wa vituo mbalimbali vya yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakati wa futari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniVijana kutoka Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni wakimshukuru Mama Salma Kikwete kwa futari Vijana kutoka Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni wakipata picha ya pamoja na Mama Salma Kikwete baada ya futari waliyoandaliwa na Rais Kikwete
Rais Kikwete akipita meza moja baada ya ingine kuwasalimia yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakati wa futari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniRais Kikwete akipita meza moja baada ya ingine kuwasalimia yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakati wa futari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniRais Kikwete akipita meza moja baada ya ingine kuwasalimia yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakati wa futari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniRais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru kwa kuja viongozi wa vituo mbalimbali vya yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu katika futari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniMama Salma Kikwete akitoa neno la shukurani kwa waalikwa kwenye futari hiyoRais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na mtoto Khaitham Jumbe Jumbe ambaye alimuandalia zawadiRais Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea zawadi toka kwa mtoto Khaitham Jumbe Jumbe mwenye umri wa miaka saba na mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi ya Yemen iliyoko Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Rais Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea zawadi toka kwa mtoto Khaitham Jumbe Jumbe mwenye umri wa miaka saba na mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi ya Yemen iliyoko Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Aliyeketi kushoto ni Bi. Mwajuma Hassan wa Chama cha Albino Wilaya ya Kinondoni.

Wageni waalikwa wakifurahia zawadi walizopewa kwenye futari hiyoYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni


Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioni


PICHA NA IKULU