Wanyama wapagawisha vilivyo Dar-Live chini ya Vodacom Tanzania

Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Inspector Haruni akiwapagawisha mashabiki zake kwenye Tamasha maalum la Eid el-fitri lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania kwenye ukumbi wa Dar Live hapo jana.
Mashabiki wakipiga kelele za kumtaka Inspetor Haruni arudie kuimba wimbo wa Ndege tunduni kwenye Tamasha maalum la Eid el-fitri lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania kwenye ukumbi wa Dar Live hapo jana.



Mwanamuziki wa kizazi kipya TID a.k.a Mnyama akiwapagawisha mashabiki zake wakati wa Tamasha maalum la Eid el-fitri lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania kwenye ukumbi wa Dar Live hapo jana.  

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya TID a.ka Mnyama wakiimba kwa pamoja na Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Kenya Naziz katika Tamasha maalum la Eid el-fitri lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania kwenye ukumbi wa Dar Live hapo jana.  

Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya TID a.ka Mnyama akilishambulia jukwaa ipasavyo pamoja na kundi la muziki la Yakuza Mobb wakati wa Tamasha maalum la Eid el-fitri lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania kwenye ukumbi wa Dar Live hapo jana.

Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Inspetor Haruni akiwaburudisha mashabiki wake wakati wa Tamasha maalum la Eid el-fitri lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania kwenye ukumbi wa Dar Live hapo jana.