
Picha hizi zimetumwa na Dj Sek kuonesha jinsi abiria waliokuwa wanaelekea Mwanza na badi la kampuni ya Princess Shabaha enye namba za usajili T102 AVX alivyokumbwa na kadhia na kuteseka baada ya safari yao kukwama katika eneo la Kibamba, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam zaidi ya saa 6 pasina kujua hatima ya safari yao.