![]() |
Mhe. Rais Uhuru Kenyatta akihutubia waKenya jijini Washington Aug 6, 2014 |
Karibu kusikiliza hotuba (imepachikwa kwenye pleya hapo chini) ya Mhe. Uhuru Kenyatta alipozungumza na Wakenya usiku wa Agosti 6, 2014 kwenye hotel ya Marriott Wardman Park Hotel, jijini Washington DC nchini Marekani.
Shukurani: Mubelwa Bandio