![]() |
JhikoMan akitumbuiza kwenye Tamasha la Majahazi 2013 |
Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Jhiko Manyika a.k.a JhikoMan aliyejiunga nasi moja kwa moja kutoka Helsinki Finland mwishoni mwa mwezi Julai.
Amezungumza mengi kuhusu ziara yake ya Ulaya iliyoanza mwezi wa nne, maonyesho aliyofanya, kazi alizorekodi na pia watu aliowashirikisha kwenye albamu yake mpya ijayo.
Amezungumzia IMANI ya RASTA na pia MUZIKI WA TANZANIA kwa ujumla.
Ameongea mengi mema.
KARIBU UJIUNGE NASI...
Shukurani: Mubelwa Bandio