[audio] Majibu ya Rais Kikwete kwa maswali ya Watanzania, Washington DC

Mhe. Rais Kikwete akijibu maswali ya waTanzania

Usiku wa Agosti 2, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk Jakaya Mrisho Kikwete alikutana na Watanzania katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC.

Baada ya hotuba yake, Mhe. Rais aliruhusu maswali kutoka kwa Watanzania hao.

Tafadhali bofya kitufe cha pleya iliyopachikwa hapo chini ili kusikiliza ili kusikiliza yaliyozungumzwa.

Karibu...
Shukurani ya audio: Mubelwa Bandio/Kwanza Production/Changamoto Yetu blog