Bongo Fleva yaikalisha Bongo Movie kwa mara ya pili @ Tamasha la Matumaini iliyodhaminia na Vodacom Tanzania


Msanii wa Muziki wa kizazi kipya na mchezaji wa Bongo Fleva Ally Kiba wapili kushoto akishangilia na wenzake mara baada ya kuifuingia timu yake goli la kwanza katika Tamasha la Matumaini lililoandaliwa na Global Publishers na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania katika kuazimisha sikukuu ya  Nanenane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.
Msanii wa kunyanyua vitu vizito, Maisala Juma akionyesha umahiri wake wa kufanya mazoezi wakati wa Tamasha la Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania katika kuazimisha sikukuu ya Nanenane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.


Msanii wa muziki wa  nyimbo za dini  kutoka mbeya Bw. Ambwene Mwasongwe,akiimba na kukongonga nyoyo za mashabiki wa nyimbo zake wakati wa Tamasha la Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania katika kuazimisha sikukuu ya  Nanenane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wamefurika katika Tamasha la Matumaini lililoandaliwa na Global Publish

Wachezaji wa Timu ya Bongo Fleva wakisamiliana na wachezaji wa Bongo Movie kabla ya mechi yao kuanza katika Tamasha la Matumaini lililoandaliwa na Global Publishers na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania katika kuazimisha sikukuu ya Nanenane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.

Kikosi cha Bongo Movie kilichokikabili kikosi cha Bongo wakati wa Tamasha la Matumaini lililoandaliwa na Global Publishers na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania katika kuazimisha sikukuu ya  Nanenane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.

Kikosi cha Bongo Fleva kikiwa kwenye picha ya pamoja tayari kwa kukikabili  kikosi cha Bongo Movie wakati wa Tamasha la Matumaini lililoandaliwa na Global Publishers na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania katika kuazimisha sikukuu ya  Nanenane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.

Mchezaji wa Bongo Movie Kapturado(kulia)akichuana vikali na mchezaji wa Bongo Fleva wakati wa Tamasha la Matumaini lililoandaliwa na Global Publishers na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania katika kuazimisha sikukuu ya  Nanenane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.