CHADEMA Geita watoana manundu

Uchaguzi wa CHADEMA unaendelea katika Kanda mbalimbali nchini, huko Geita imeripotiwa taarifa ya kujeruhiana:
...baada ya muda kundi hilo lilibeba mawe na kuanza kuwashambulia wenzao na moja likatua mdomoni na mgongoni kwa mwenyekiti wa mtaa wa Tambukaleli, Mabula Ndoshi aliyejeruhiwa vibaya.

Kufuatia hali hiyo baadhi ya wanachama walitimua mbiyo huku dereva wa gari lililokuwa limebeba wasimamizi hao akitumia uzoefu wake kwa kuwabeba viongozi hao kisha kuliondosha kwa kasi gari hilo ambalo liliokolewa na Redbrigade wa chama hicho waliofika eneo hilo mara moja kisha kuwadhibiti kundi lililoleta vurugu ambalo nalo lilitimua mbio kukwepa mkong’oto kutoka kwa vijana hao wa ulinzi wa CHADEMA...
Bofya hapa kusoma simulizi zima (Malunde1 blog).