![]() |
Cheif wa blog ya swahilivilla Abou Shatry akipata picha ya pamoja na mtaalamu wa vichekesho, Hussein China |
Uiyonavyo sivyo ilivyo hadi uisikiapo. Cheif wa swahilivilla kutoka Washington DC nchini Marekani, Ebou Shatry amekutana na mtaalamu wa vichekesho, Hussein China ndani ya Jjiji la Dar, baada ya miaka 15 kutoonana kijiweji.
Katika mpango mzima wa kipindi cha Msakatonge na Azam Tv, kwa Video Clip fupi ya WhatsApp.
Wadau wetu kaeni mkao wa kula..