Ester achukua fomu kuwania uongozi CHADEMA Published on Tuesday, August 26, 2014 . MBUNGE kupitia Viti Maalumu (Chadema) Ester Matiku amejitosa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) mkoa wa Mara na kuahidi kushughulikia matatizo ya Wanawake yanayowakabili katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kisiasa. . Shommi Binda - ESTER MATIKU ACHUKUA FOMU KUWANIA UONGOZI NDANI YA CHADEMA