Unapokuwa na kiongozi wa nchi ambaye hawezi kuwa na maamuzi binafsi kwa ajili ya manufaa ya taifa lake ,anapotekeleza majukumu yake Kama mkuu wa nchi ,ni hatari kubwa.
Hakuna aliyemlzimisha Kikwete kuja na ajenda ya kuandika katiba mpya. Na hata asingekuja nayo haikuwa ajenda ya Chama chake. Alilitangazia taifa kwa mbwembwe nyingi kuwa anatuletea zawadi watanzania ya Katiba mpya. Jambo ambalo Chama chake kilikuwa hakitaki, mwana sheria mkuu alikuwa hataki, waziri wake wa sheria wakati ule Serina Kombani alikuwa hataki ,na walisikika kwa nyakati tofauti wakisema katiba mpya sio hitaji la watanzania kwa sasa na ni NDOTO. Swali kwa watanzania wenzangu, Kama JK ALIJUA haiwezi kusimamaia maamzi yake kwa nini aliingize taifa kwenye gharama kubwa isiyo na TIJA!
Jk aliamua kufanya mambo ya TEMBO WAKATI ANA ROHO YA SUNGURA ,SHAME ON HIM!!!
Ni nini kilichombadilisha? What kind of a leader ? Huyu ni kiongozi asiyefanya maamuzi......Kiongozi wetu huyu anaweza kuchukuliwa na Kila aina ya upepo , (if you don't know where you are going any road will take you there) does he know where is taking the national? He is too possessed by his political party ideology ...anasahau kuwa yeye ni kiongozi wa watanzania. VINGINEVYO anataka tuamini kuwa walio chini yake wananguvu KULIKO yeye...
Post by Peter Msigwa.