Ikiwa umeiona laptop ya Dotto Mwaibale, tafadhali...

Ndugu mpendwa, 

Nimesahau laptop yangu aina ya HP wakati wa hafla ya uzinduzi wa sabuni ya Omo Fast Action katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam jana. 

Kwa yeyote ambaye atakuwa nayo naomba uwasiliane nami kwa namba hizi za simu- 0712-727062-0754-362990 au unaweza kuniletea Ofisi za Gazeti la Jambo Leo zilizopo Ghorofa ya 9, Hifadhi House, Barabara ya Samora na Azikiwe uliza Dotto Mwaibale. 

Asante kwa ushirikiano Mungu akubariki sana.