RAIS KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA UZINDUZI WA PROGRAMU YA UIMARISHAJI WA MIPAKA YA KIMATAIFA MKOANI KAGERA
![]() |
Wasanii wa ngoma ya utamaduni kutoka Burundi wakiburudisha kwenye sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014. |
![]() |
Sehemu ya umati wa wananchi wa Tanzania na Burundi kwenye sherehe za uzinduzi wa programu ya uimarishaji wa mipaka ya kimataifa Jumatano Agosti 27, 2014. |