Kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge



Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sita akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge hilo kilichokaa leo kupanga ratiba ya Bunge hilo linaloanza Jumanne, 5 Agosti 2014 baada ya kuarishwa tarehe 25 Aprili 2014. (Picha: Owen Mwandumbya)