Kikao cha Rais Kikwete na Watendaji akihitimisha ziara MorogoroRais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mhe. Innocent Kalogeris alipowasili katika ukumbi wa shule ya msingi Gairo ya kwenye kikao cha majumuisho na watendaji wa mkoa huo baada ya kuhitimisha ziara yake ya mkoa wa Morogoro. (picha hii na zote zinazofuata hapo chini ni kutoka Ikulu)
Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos MakallaRais Kikwete akiwashukuru wafadhili wa miradi ya afya ya mama na mtoto mkoani MorogoroWatendaji wa kada mbalimbali wa mkoa wa Morogoro katika kikao hicho cha majumuishoSehemu ya Wabunge wa mkoa wa Morogoro kwenye kikao hichoWabunge wa mkoa wa Morogoro kikaoni hapo


Watendaji wa mkoa wa Morogoro wakiwa kikaoniRais Kikwete akiongoza kikao cha majumuisho baada ya kutembekea Mkoa wa MorogoroRais Kikwete akiongea kwenye kikao hicho. Kulia ni Mbunge wa Mvomero na Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akifuatiwa na Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent KalogerisMmoja wa wajumbe wa kikao akielezea jambo


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera akimshukuru Rais Kikwete kwa kufanya ziara mkoani mwakeMkuu wa Mkoa wa Mororogo akielezwa jambo na Katibu Tawala wa Mkoa huo Mhe Eliya NtanduRais Kikwete akimsikiliza Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla wakati wa kikao hicho. Katikati ni Mbunge wa Morogoro kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Mh Innocent KalogerisRais Kikwete akiongea na Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla


Rais Kikwete akitoka nje ya ukumbi baada ya kuhitimisha kikao cha majumuishoRais Kikwete akiagana na Mbunge wa Mvomero Mhe. Amos Makalla