Kocha wa Zanzibar Cosmos Seif Mbuzi akiinua kiwango cha soka Zenj

.
Kocha wa timu ya Zanzibar Cosmos Seif Mbuzi akiwa na vijana wake katika mazoezi ya kawaida kwenye viwanja vya mpira wa miguu Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar siku ya Jumanne Agosti 26, 2014. (picha : swahilivilla.blogspot.com)

Na Ebou Shatry/SwahiliVilla blog
-- Hii ni taswira ya Vijana wa Zanzibar Cosmos wakiwa na Kocha wao mkuu Seif Mbuzi kwenye mazoezi ya jioni katika viwanja vya Mnazi Mmoja ikiwa ni jitihada yake katika kunyanyua kiwango cha mpira Visiwani Zanzibar.

Kocha wa timu ya Zanzibar Cosmos Seif  Mbuzi akiwafundisha na vijana wake jinsi ya kufunga magoli ya mbali katika Mazoezi kwenye viwanja vya mpira wa Miguu Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar siku ya Jumanne Aug 26,2014.Kocha wa timu ya Zanzibar Cosmos, Seif Mbuzi akipata picha ya pamoja na timu yake mara tu baada ya mazoezi  siku ya Jumanne Aug 26, 2014 ndani ya wanja wa Malindi uliopo mnazi mmoja Zanzibar.