Kumi bora wa TMT katika studio za Times 100.5 FMWaendeshaji wa kipindi cha filamu Monata kinachorushwa na kituo cha redio cha TIMES FM 100.5 wakiendelea na majukumu katika studio za kituo hiko cha redio kilichopo Kawe jijini Dar es Salaam wakati wa kipindi cha filamu Monata leo wakati washiriki 10 bora wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) walipotembelea studio hizo.Jaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) na Presenta wa Kipindi cha Filamu Monata cha TIMES FM, 100.5 Dar Es Salaam akiendelea na kipindi wakati washiriki 10 bora walipotembelea Kituo hiko leo kwaajili ya Mahojiano na waendeshaji wa Kipindi hiko.Mmoja wa Washiriki 10 Bora wa Tanzania Movie Talents (TMT) akijibu maswali kutoka kwa Waendeshaji wa Kipindi cha Filamu Monata kinachorushwa na Kituo cha Redio cha TIMES FM, 100.5 Dar es Salaam.Mshiriki Wa Tanzania Movie Talents (TMT) akijibu maswali.

Washiriki 10 Bora wa Tanzania Movie Talents (TMT) wakiwa ndani ya studio za TIMES FM, 100.5 Dar es Salaam.

Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) yatafanyika tarehe 30 Agosti 2014 katika ukumbi wa Mlimani City kuanzia saa 7.30 Usiku huku viingilio vikiwa shilingi elfu 50 kwa VIP na elfu 30 kwa kawaida.

Picha, maelezo: Josephat LukazaBurudani Kali kutolewa siku hiyo ya Fainali Huku Mc Pilipili akitoa burudani na Christian Bella