![]() |
Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi alipowasili kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014 |

Mbunge wa Gairo Mhe. Ahmed Mabhut Shabiby akimkaribisha Rais Kikwete kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014 |
![]() |
Sehemu ya maelfu ya wananchi waliofurika kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kumsikiliza Rais Kikwete alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014 |
![]() |
Mmoja wa wananchi waliofurika kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro akichukua kumbukumbu wakati wa kumsikiliza Rais Kikwete alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014 |
![]() |
Rais Kikwete akihutubia umati wa maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014 |

Rais Kikwete akiagana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014 |