Pia familia ya marehemu walitoa shukurani za dhati kwa wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine katika msiba huu wa mpendwa mama yao na kuwezesha kukusanya $19,000 ili kuwezesha kusafirisha
mwili wa marehemu nyumbani Tanzania, "hatuna cha kuwalipa kitakacholingana na hicho kikubwa mlichoifanyia familia hii ya Kibusi, tunawaoombea kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awazidishie mara dufu"

Dua la kuombea chakula
Mkuu wa Wilaya ya Springfield, Alhaji Isaac Kibodya akiwa na shemeji yake na NY Ebra aliyewakilisha timu ya Vijimambo kwenye msiba huo.
Watanzania wa Massachusetts wakiwa wamejumuika pamoja kwenye chakula cha pamoja baada ya Ibada ya kumbukumbu kumalizika
Kwa picha zaidi bofya HAPA