Matokeo ya uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA Shinyanga

Jana chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Shinyanga wamefanya uchaguzi kuwapata viongozi wa chama ngazi ya wilaya. 

Uchaguzi huo umefanyika mjini Shinyanga na wafuatao ndiyo washindi katika nafasi mbalimbali.

MWENYEKITI - Bwana Hassan Baruti, aliyechukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na bwana Nyangaki Shilungushela.

KATIBU - Mussa Ngasa, aliyechukua nafasi ya bi Siri Yasin

KATIBU MWENEZI - Kadala David

MWEKA HAZINA - Francis Kasiri

  • BAVICHA
MWENYEKITI  - Samson Mwagi

KATIBU - Zainabu Heri

KATIBU MWENEZI - Justine Mwasiga

MWEKA HAZINA - Majid Issa

  • BAWACHA 
MWENYEKITI - Zena Musa Gulam

KATIBU - Yunis Kisija

  • WAZEE
KATIBU WAZEE - John Buhembo

MWENYEKITI WAZEE - Titus Jilungu

  • WAJUMBE KAMATI TENDAJI 
Wanawake - Joyce Haji na Sipora Masibuka
Wanaume - Valerian Balege na Anthony Peter

  • MJUMBE MKUTANO WA TAIFA 
Salaganda Halid Salaganda