Kikundi cha Mazabe Powder cha kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,kinachoshiriki shindano la Dance 100% wakielekee mazoezini kujindaa na robofainali itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la Kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam, wakiwa mazoezini kujiandaa kwa mchuano wa robo fainali itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
HUKUU!! Vijana wanaounda kundi la Mazabe Powder la kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam, wakifanya mazoezi kambini kwao kujiandaa kwa robo fainali ya shindano la Dance100% litakalofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
HUKUU!! Vijana wanaounda kundi la Mazabe Powder la kwandevu Tegeta jijini Dar es Salaam,wakifanya mazoezi kambini kwao kujiandaa kwa robo fainali ya shindano la Dance100% litakalofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Dance 100% wa kundi la Mazabe Powder la Tegeta Kwandevu jijini Dar es Salaam, wakiwa katika picha ya pamoja na Meneja Uhusiani wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (watatu kutoka kushoto) na Mratibu wa shindano hilo kutoka EATV Happy Shame walipowatembelea kambini kuwapa moyo vijana hao na kujionea jinsi wanavyofanya mazoezi yao kujiandaa na robo fainali ya mashindano hayo yatakayofanyika Agosti 23 mwezi huu.