Mazishi ya ANDREA DUMA, baba wa mwandishi wa MOblogJeneza lililobeba mwili wa mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste (FPCT) Ihanja wilaya ya Ikungi, Andrew Duma (92).Katibu mkuu wa makanisa ya Free Pentekoste nchini,Elias Shija, akihubiri kwenye ibada ya mazishi ya mchungaji mstaafu wa Free Pentekoste Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida, Andrea Duma.


Mjumbe wa halmashauri kuu CCM (NEC) Singida mjini, Hassan Mazala, akitoa nasaha zake kwenye ibada ya mazishi ya mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste Ihanja wilaya ya Ikungi, Andrea Duma.Mazishi hayo yamefanyika jumamosi katika kijiji cha Ihanja.Baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini mbalimbali waliohudhuria mazishi ya mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida.Andrea Duma.Mazishi hayo yamefanyika katika kijiji cha Ihanja Jumamosi iliyopita.Baadhi ya waombelezaji waliohudhuria mazishi ya mchungaji mstaafu kanisa la Free Pentekoste Ihanja Andrea Duma yaliyofanyika katika kijiji cha Ihanja.

Jeneza lillobeba mwili wa mchungaji mstaafu wa kanisa la Free Pentekoste (FPCT) Ihanja wilaya ya Ikungi mkoa wa Singida Andrea Duma (92), likiingizwa kaburini, kuhitimisha safari yake hapa duniani.Mazishi hayo yamefanyika Jumamosi iliyopita katika kijiji cha Ihanja.
(Picha zote na Nathaniel Limu).