
Akiwa hutubia wananchi katika mtaa wa Maanga juzi jioni, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu alitumia fursa hiyo ya kuzungumza na wananchi kuwasomea matumizi za miradi za mfuko wa Jimbo kiasi cha shilingi milioni 93 zilivyotumika kwa miradi mbalimbali ya Jiji la Mbeya.


Taarifa za miradi ya fedha za Mfuko wa Jimbo


Picha na taarifa zaidi kwenye blogu ya Rashid Mkwinda (credits): SUGU AWASOMEA WAPIGA KURA ALIVYOTUMIA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO