Waheshimiwa mabibi na mabwana,
Shule ya chekechea na madrasa Rahman (Rahman Nursery school & Madrasat Rahman) ya Segerea jijini Dar-es-Salaam inawaomba wapenda maendeleo ya elimu kuchangia vifaa vya kusomea, michezo n.k. kwa ajili ya kuweka msingi wenye mahadili mazuri kwa watoto.
Wadau, wafadhili na wahisani wote michango yenu inakaribishwa.
Tafadhali piga simu namba +255(0) 757 608303 au 0712840960
Pia mnakaribishwa kuja Segerea kuona Madrasa na shule yenu ya Chekechea, Shule ipo karibu na Msikitini Segerea Mwisho jijini Dar.
Michango yenu ndio msingi wa elimu yenye mahadili mema kwa watoto.