Picha za kumeremeta kwa Johstone Maunda na Noela Kaigwa

Johstone Frank Maunda na mkewe kipenzi Noela Julian Kaigwa kwenye matukio ya arusi yao ambayo ibada yake takatifu ilifanyika Agosti 23, 2014 katika Kanisa la Mt. Albano jijini Dar es Salaam. Ndoa hiyo ilifuatiwa na tafrija kubwa iliyofanyika katika ukumbi wa Coco Beach. 

Picha zimeshughulikiwa na MD Digital Company; +255 755 373999, +255 717002303.

Picha zaidi...Johstone Frank Maunda akimvisha pete mkewe kipenzi Noela Julian Kaigwa.Johstone Frank Maunda na mkewe Noela Julian Kaigwa wakifuatilia mahubiri ya ndoa yao.

Noela Julian Kaigwa akirembwa SalonNoela Julian Kaigwa akimtengeneza msimamizi wake Tumaini Magdalena Libaba walipokuwa Salon.