Rais Kikwete awapa zawadi Real Madrid Legends

.
Rais Jakaya Kikwete akimpa zawadi ya kinyago mchezaji veterani wa timu ya Real Madrid, Luis Figo wakati wa hafla ya chakula cha jioni aliyowaandalia wachezaji wa timu hiyo na timu ya maveterani ya Taifa Stars huko Ikulu jijini Dar es Salaam juzi usiku baada ya mechi ya kirafiki iliyofanyika katika uwanja wa Taifa ambapo Real Madrid illifunga Taifa Stars 3-1. (picha: Freddy Maro)
.

.