Rais Kikwete azindua jengo jipya la SACCO Kinole


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua jengo jipya la Chama cha Kuweka na Kukopa (SACCOS) cha kijiji cha Kinole, Morogoro vijijini Agosti 22, 2014.Rais Kikwete akiongea na mtoto Rebecca Mbena ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi ya Kinole wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua jengo jipya la Chama cha Kuweka na Kukopa (SACCOS) cha kijiji cha Kinole, Morogoro vijijini Agosti 22, 2014. Wengine ni Mama Salma Kikwete (kulia), Mbunge wa Viti Maalum Dkt Lucy Nkya (wa [ili kulia) na Mwenyekiti wa SACCOS ya Kinole Mzee Issa Ramadhani Kambi.


Rais Kikwete akikagua jengo jipya la SACCOS ya Kinole baada ya kulizindua


Rais Kikwete akiwa ameongozana na Chifu Kingalu na Mwenyekiti wa SACCOS ya Kinole Mzee Issa Ramadhani Kambi baada ya kuzindua jengo la chama hicho kijijini KinoleRais Kikwete na Chifu Kingalu wakiwatuza wacheza ngoma vijana wa kijiji cha Kinole waliokuwa wakitoa burudani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014Rais Kikwete akimtambulisha Chifu Kingalu kwa Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014Mama Salma Kikwete akiongea na baadhi ya kinamama kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014Mbunge wa viti maalumu Dkt Lucy Nkya akiongea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014Umati wa wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera akitoa muhtasari na kukaribisha wasemaji kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe Stephen Masele akielezea mikakati ya serikali ya kusambaza umeme vijijini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wananchi na kueleza mikakati ya serikali katika kuendeleza na kuboresha miundombinu nchini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mbunge Mhe Innocent Kalogeris akiongea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014Mama Salma Kikwete akiongea na mtoto Rebecca Mbena ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi ya Kinole wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014
Mama Salma Kikwete akiongea na mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi ya Kinole wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014


Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Chifu Kingalu Mama Salma Kikwete akiongea na mtoto Rebecca Mbena ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi ya Kinole wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi ya Kinole Agosti 22, 2014.

Picha zote na maelezo: Ikulu.