Swali: Utaratibu wa asasi kuwa mwanachama wa muungano wa asasi za kiraia Tanzania upoje?

Mwenyekiti wa EEAA ameuliza swali lifuatalo:
Habari,
Uongozi wa EEAA (Education and Expedition Agency Association) unapenda kutoa ombi la kuuliza utaratibu wa asasi yetu kuwa mwanachama wa mungano wa asasi za kiraia hapa nchini upoje?
Tunawakatia afya njema
Clemence A.A. - M/KITI EEAA
[email protected]

Jibu kutoka kwa mdau Chacha kupitia ukurasa wa wavuti.com wa Facebook ni
Kwa kumjibu mdau...kwa kuwa asasi yake ni ya elimu basi mtandao anaopaswa kujiunga nao.ni TENMET (www.tenmet.org)