Taarifa ya mabadiliko ya anwani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Published on Wednesday, August 13, 2014 Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kuwatangazia wananchi na wadau wote kuwa anwani ya Wizara imebadilika na sasa inaandikwa kama ifuatavyo: Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,9 Barabara ya Ohio,S.L.P 9223,11483 DAR ES SALAAM. Imetolewa na:Isaac J. NantangaMSEMAJIWIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI