Vijimambo audio: Guru G Lover alonga ni kwa nini yeye na Ali Kiba walisindwana



Dj G Lover Dj wa siku nyingi katika anga ya muziki Tanzania na Dj anaepambana na kuupaisha muziki wa kizazi kipya kila kukicha leo Ijumaa Aug 1, 2014 alifanya mahajiano ya simu na blogu ya Vijimambo aliongelea mambo mengi kuhusu wasanii na sababu gani walishindwana yeye na Ali Kiba.

Msikilize wenye audio iliyopachikwa hapa chini...

Picha juu na chini Dj G Lover akiwa na wasanii mbambali wa Bongo Flava








wavuti.com imeshirikishwa taarifa hii na Luke Joe/Vijimambo blog