Viongozi wa nchi zinazounda EAC wakutana na wawekezaji Marekani

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wa nchi za Jumuiya ya Mashariki, Mhe Paul Kagame wa Rwanda, Mhe Yoweri Museveni wa Uganda, Mhe Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mhe Pierre Nkurunzinza wa Burundi wakati wa mkutano wao na wawekezaji wa Kimarekani uliofanyika katika makao makuu ya chama cha wafanyabiashara (US Chamber of Commerce) jijini Washington DC.