Vodacom ilivyonogesha Tamasha la Matumaini 2014 juzi

Mmoja wa Mashabiki akiwa na furaha katika Tamasha la Usiku wa Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Amad Alli (maarufu) Madee akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa Tamasha la Usiku Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.


Msanii wa Muziki wa kizazi kipya, Roma Mkatoliki akiwapagawisha mashabiki wake wakati wa Tamasha la Usiku wa Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.

Bondia Said Membe (kulia)akijiandaa kumsukumia konde bondia, Kharid Chokoraa wakati wa Tamasha la Usiku wa Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.

Msanii muvi JB akimwangalia msaanii mwenzake, Kraud baada ya kumuangusha chini wakati wa pambano lao la ngumi wakati wa Tamasha la Usiku wa Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.

Mshabiki wa bondia, Mada Maugo wakimwagia maji baada ya mwanamasumbwi huyo kushinda pambano lake zidi ya bondia Thomas Mashari wakati wa Tamasha la Usiku wa Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam juzi.