Mmoja wa washiriki wanaounda kikundi cha Street Dance cha Mbagala jijini Dar es Salaam, akionyesha umahiri wake wa kudansi wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombe hapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi 15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hilo ambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Kikundi chaStreet Dance cha Mbagara jijiniDar es salaam, wakionyesha umahiriwao wa kudansi wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyikakatika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombehapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hiloambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Wachezaji wa kundi la Manuarykutoka Majohe Pugu jijini Dar es salaam, wakicheza wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyikakatika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombehapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hiloambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Vijana wanaounda Kikundi cha G.O.P cha Kekojijini Dar es salaam, wakitoa burudani kali wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyikakatika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombehapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hiloambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

ijana wanaounda Kundi la Young Dance la Temeke Mikoroshoni jijini Dar es Salaam wakitoa burudaniwakati war obo fainali ya shindano la Dance 100 lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyikakatika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombehapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hiloambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5

Kikundi cha Wazawa kutoka Mbagala jijini wakitoa burudani wakati wa robo fainali ya shindano la Dance 100 liliodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyikakatika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombehapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hiloambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.

Kikuindi cha Swaga Don cha Temeke jijini Dar es Salaam wakifanya mambo yao wakati wa robo fainali ya shindano la Dance 100 liliodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyikakatika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombehapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hiloambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Kikuindi cha Butterfly cha Temekejijini Dar es Salaam wakifanya vitu vyao wakati wa robo fainali ya shindano la Dance 100 liliodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyikakatika Viwanja vya TCC Sigara Chang’ombehapo jana.Shindano hilo lilishirikisha makundi15 kutoka wilaya ya Temeke ,Makundi matano yalichagulia kuingia katika Fainali za shindano hiloambapo mshindi atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.