Kikundi cha wake wa viongozi wakiwa katika picha ya pamoja na Mama Maria Nyerere walipomtembelea hivi karibuni. Walioketi kwenda katikati ni Mama Mama Nyerere, kushoto ni Mama Tunu Pinda na Mama Regina Lowasa. Kwenda kulia ni Mama Kawawa akifuatiwa na Mama Sumaye (picha: Christopher Mfinanga)