Hassan Tofi mmoja wa washiriki wa Shindano la Dance 100% wa Kundi la Best Boys la Kigamboni jijini Dar es Salaam,akiwaongoza wenzake katika mazoezi yao yanayofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Upanga ikiwa ni sehemu ya kujindaa na robo fainali ya shindano hilo itakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Washiriki wa shindano la dance 100% wa kundi la Best Boys la Kigamboni jijini Dar es Salaam,wakiwa mazoezini katika viwanja vya Don Bosco Upanga wakijiandaa kwa mchuano wa robo fainali utakaofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
NISIKILIZENI KWA MAKINI:Mshindi wa Dance 100% mwaka 2012 Fred Julius wa kundi la T. Africa la Chang’ombe jijini Dar es Salaam, akiwapa mbinu za kuweza kuibuka washindi vijana wa kundi la Best Boys la Kigamboni jijini Dar es Salaam alipowatembelea kambini kwao Don Bosco Upanga ,walikoweka kambi kwa ajili ya kujiandaa na robo fainali ya shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa shindano la Dance 100% wa kundi la Best Boys la Kigamboni jijini Dar es Salaam, wakiwa katika mazoezi Don Bosco Upanga ambapo wameweka kambi yao kujiandaa na robo fainali ya mashindano hayo yatakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (kulia)akiongea na washiriki wa Dance 100% wa Kundi la Best Boys la Kigamboni jijini Dar es Salaam, wakati alipowatembelea kambini kwao Don Bosco Upanga ,wanakojiandaa na na robo fainali ya mashindano hayo yatakayofanyika Agosti 23 mwezi huu. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.