Waendesha 'bodaboda' wakijitahidi kupita kwenye utelezi wa barabara katika kilima cha Bonyokwa kama walivyokutwa na mpiga picha hii siku ya Jumatatu. Barabara hiyo inaunganisha maeneo ya Kinyerezi na Kimara jijini Dar es Salaam. (picha: Mohamed Mambo/DAILY NEWS)