Msikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW popote pale ulipo unaweza kupokea habari, picha, vidio na sauti moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi kupitia huduma ya DW WhatsApp.
Kujiunga:
Hifadhi namba +4915752862185 kwenye simu yako kisha tuma ujumbe, “Niunge” kwa kutumia WhatsApp kwenye namba hiyo.
DW itakuweka kwenye orodha ya watu wanaopokea ujumbe wa taarifa mara mbili kwa siku kutoka kwao kila wanapotuma taarifa mpya. Huduma hii ni mpya na haina malipo yoyote.
Kujitoa:
Watumie DW ujumbe wenye neno "Nifute" kwenye namba iyo hiyo iliyotajwa hapo juu.