Kiwanja chenye nyumba kinauzwa, Changanyikeni, Dar


Kiwanja kinauzwa katika eneo la Changanyikeni, Mbuyuni Jijini Dar es salaam karibu na eneo la Jesus Village.

Kina ukubwa wa hekari moja. Kinaweza kutumika kujenga shule, hospitali na kadhalika.

Kipo katika eneo zuri sana na kimezungukwa na majirani wa heshima (Decent Neighbourhood).

Kipo katika eneo wanalokaa Maprofesa wa Chuo kikuu Cha Dar es Salaam.

Gari linafikika kwa urahisi.

Kina nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, master bedroom, choo, bafu, store, jiko na sebule.

Bei yake Sh. Milioni Mia Mbili na Hamsini ( 250) (MAZUNGUMZO YAPO)

Piga simu : 0766538384.