Marekani yataja washirika wake 10 wa kupambana na ISI

Marekani imetangaza kuwa imeshirikiana na nchi 10 duniani kuunda ushirika utakaopambana na kundi lililojitangazia kuundwa kwa Dola la Kiislamu nchini Irak (Islamic State in Iraq).

Nchi zilizojiunga na Marekani ni pamoja na Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Uturuki, Canada, Australia Italia, Poland na Denmark.

Lengo la ushirika huo ni kusaidia nchi washirika katika mapambano dhidi ya ISI ardhini na kuendelea kushambulia kutoka angani, wanamgambo wa dhehebu la Sunni.

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani, John Kerry akizungumza nje ya mkutano wa NATO huko Wales amekaririwa na shirika la habari la Reuters akisema kuwa makusudio ya vita dhidi ya ISIS au ISIL si
kuliangamiza kundi hilo bali kulidhibiti.
"We need to attack them in ways that prevent them from taking over territory, to bolster the Iraqi security forces and others in the region who are prepared to take them on, without committing troops of our own," "Obviously I think that's a red line for everybody here: no boots on the ground."
Jarida la Times linaongeza yafuatayo:
"American officials are hoping to expand the coalition against ISIS to include as many countries as possible, particularly in the region. Obama administration officials said privately that in addition to the countries that attended the meeting Friday morning, the United States was hoping to get quiet intelligence help about the Sunni militants from Jordan, whose leader, King Abdullah, was participating in the NATO summit.

"United States officials said they also expected Saudi Arabia to provide money and aid for moderate Syrian rebel groups. Yousef al-Otaiba, the ambassador of the United Arab Emirates to the United States, said in a statement earlier this week that the United Arab Emirates stood ready to join the fight against ISIS. 'No one has more at stake than the U.A.E. and other moderate countries in the region that have rejected the regressive Islamist creed and embraced a different, forward-looking path,' the ambassador said. The Emiratis, he said, are 'ready to join the international community in an urgent, coordinated and sustained effort to confront a threat that will, if unchecked, have global ramifications for decades to come.' "