Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TDC) wakati alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Septemba 08, 2015.

Rais Jakaya Mrisho akilakiwa katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo September 8, 2014 alikowasili ili kuonana na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia (TCD) 

Rais Jakaya Mrisho akilakiwa katika uwanja wa ndege wa Dodoma leo September 8, 2014 alikowasili ili kuonana na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia (TCD)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wakati alipokutana nao kwenye Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Septemba 08, 2014.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na ujumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) baada ya kumalizika kwa awamu ya pili ya mazungumzo nao Ikulu Ndogo mjini Dodoma leo