Katika uchaguzi uliyofanyika juzi kwenye ukumbi wa Maktaba ya Mkoa, mkoani Tanga, CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Tanga kimewachagua viongozi wake kama ifuatavyo:-
Tesol Peter - Mwenyekiti
Rogers Robert - Katibu
Marcus Thobias - Mwenezi
Haule Dismas - Mweka Hazina
Uchaguzi huo ulisimamiwa na Katibu wa CHADEMA Mkoa, Jonathan Bawje