Watanzania waishio Massachusetts wakijumuika pamoja kwenye Soka Festival iliyoandaliwa na Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania New England inayofanyika kila mwaka wakati wa majira ya joto.
Mkuu wa Wilaya ya Springfield, Alhaji Isaac Kibodya katika picha ya pamoja na Gloria.