T.B. Joshua: Mwombeeni Kiongozi wa Kusini mwa Afrika na Kenya

Mhubiri maarufu wa Nigeria, Nabii Temitope Balogun Joshua aka T.B. Joshua ambaye mwaka 2012 aaliripotiwa kutabiri kuhusu kifo cha Rais wa Malawi, merehemu Bingu wa Mutharika, mara hii amenukuliwa kusema kuwa anatabiri kuwepo kwa shambulio la kiongozi/rais wa moja ya nchi za Kusini mwa Afrika.

Amenukuliwa akiwaasa waumini tarehe 31 Agosti 2014 akiwa Kanisani kuwa waliombee eneo hilo la Afrika kwani anaona wanajeshi wakimbugudhi Rais kwa nia ya kumteka ama kumuua. 
“You should pray for Southern Africa… I am seeing militants are interested in embarrassing a president in that region – either to kill him or kidnap him.”
“That is just their objective – to kidnap the president, vice president or first lady of that nation...”
“If prayer is not offered well, they will succeed it will put the nation into uproar.”
T.B. Joshua anadai kuwa ameoneshwa eneo husika ingawaje hakutaka kulitaja ili kuepusha shari.
“God showed me the place, but I don’t want to put any country into pandemonium” 
Ameitaja nchi ya Kenya akisema kuwa kulingana na maono ya Kinabii aliyoyapata, nchi hiyo inahitaji maombi.
“Particularly Kenya as a Nation, pray for the Kenya. Pray for the nation Kenya, particularly.” 
Tizama video ifuatayo...