Video ya Mkubwa na Wanawe yazinduliwa @ Maisha Club chini ya Vodacom Tanzania

Mwanamuziki wa muziki wa bongo fleva Dogo Janja akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika ukumbi wa maisha club oysterbay jijini Dar es Salaam, wakati wa onyesho la Yamoto Bendi jana usiku wakati wa uzinduzi wa video yao ya “Mkubwa na Wanae” onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Waimbaji wanaounda kundi la “Yamoto Band”Aslay, Becka, Bella na Maromboso wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa video yao ya Mkubwa na Wanawe, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club jana usiku udhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Mwimbaji mahiri wa kundi la”Yamoto band” Aslay akikonga nyoyo za wapenzi wake waliofurika katika ukumbi wa New Maisha Club oysterbay jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa video yao ya Mkubwa na Wanawe ,uliofanyika jana usiku na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Baadhi ya mashabiki wa kundi la Yamoto bendi  lenye masikani yake TMK wakiwa kwenye pozi ya picha wakati  wa uzinduzi wa video yao ya mkubwa na wanawe ,uliofanyika jana katika ukumbi wa New Maisha Club na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.