Mkuu wa Idara ya Mawasiliano ya Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania (TCRA) Inncocent Mungi amezungumza na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya DW, Iddi Ssessanga kuhusu kampeni dhidi ya matumizi mabaya ya mitandao, yenye lengo la kukabiliana na matumizi mabaya ya mitandao hiyo, ikiwemo ya simu na intaneti, maarufu kama "Futa-Delete-Kabisa".
Bofya kitufe cha pleya hapo chini kusikiliza dakika 9 za mazungumzo hayo...