Ijumaa ya tarehe 29th August Castle LITE ilidhamini pati ya JUST GOT
PAID iliyofanyika Azura, Mikocheni. Pati hii ni ya madhumuni ya watu
kusherekea mwisho wa mwezi na kuburudika kwa kinywaji cha Castle LITE na
muziki bomba.
Tukio hili lilikuwa bomba sana na watu walionekana
kufurahi na Castle LITE zao za baridi wakijumuika na ndugu, jamaa au
marafiki. Wageni katika sherehe hii pia walihimizwa kushiriki katika
shindano la kujishindia zawadi kutoka Castle LITE ambapo walitakiwa
kutembelea tovuti ya www.castlelite.co.tz
kujiunga katika droo.
Zawadi za kujishindia ni Samsung Galaxy Tab,
T-shirt, Kofia na Key holder za Castle LITE pamoja na Castle LITE za
kopo. Picha kadhaa kutoka pati hii watu wakiburudika na Castle LITE
jioni hiyo.
Hizi ni baadhi ya picha